Swahilli

Kama unaamini kuwa haukutendewa haki , ukanyanyaswa kwa sababu zifuatazo:

 • Jinsia
 • Uhusiano
 • Ujauzito
 • Kuwa mzazi
 • Kunyonyesha
 • Umri
 • Ukabila
 • Uharibifu zaidi
 • Imani ya kidini au utendaji kazi
 • Kushiriki Siasa au kuifanyia kazi
 • Kushirikiana na chama cha biashara
 • Kushiriki ngono halari
 • Mahusiano ya jinsia
 • Madaraka ya ki familia
 • Kujamiana

Maeneo yako :

 • Kazini
 • Shuleni
 • Nyumba , unapoishi
 • Kupokea na kutoa bithaa (au mahala pengine maisha ya hadharani)

Ita Halimashauri ya kupinga utambuzi na unyanyasaji ya Queensland naba ya simu 1300130670 ili upate taarifa za ziada.

Tunaweza pia kukupa taarifa kuhusiana na unyanyasaji wa kujinsia na uhalibifu kwa misingi ya kikabila na imani ya kidini kujamiana, kitambulisho cha mahusiano ya kijinsia.

Tuna ofisi : Brisbane,Rockhampton,Townsvile na Cairms.

Tena tuna vijitabu kwa lugha za jumuia mbalimbali na tunaweza kukuandaria wakalimali kama wanaitajika.

Version : September 2006